Ubuyu
Mpya unaoenea kwa siri kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa, ni kuhusu
ndoa ya super star wema sepetu inayotarajiwa kufungwa ivi karibuni.
Chanzo
cha ubuyu kinaeleza kuwa hatua zote muhimu zimeshachukuliwa,
kinachosubiriwa tu ni bwaba harusi huyo mtarajiwa kuchukua jiko lake
bila kipingamizi chochote. Mpaka sasa ivi bado mume huyo mtarajiwa wa
staa huyo hajawekwa wazi kwa kuogopa watu wabaya kumfanyia fitna.
Mpaka sasa management yake inafanya siri kubwa kuhusu tukio hilo muhimu litakalobadilisha title na heshima ya msanii huyo.
Mpaka sasa management yake inafanya siri kubwa kuhusu tukio hilo muhimu litakalobadilisha title na heshima ya msanii huyo.
Leo kwenye ukurasa wake mtandaoni amebandika picha hiyo hapo juu na kuandika "Never knew what Hapiness had to offer..... Until now... Im GrateFul & Thankful...."
Ngoja tuendelee kusubiri.
0 comments:
Post a Comment