Una ndoto ya kumiliki Mjengo wa aina gani? Kila mtu na ndoto yake, ninayo story kutoka Marekani.. mmiliki wa huu mjengo anaitwa Joel Weber na ni mwanafunzi wa University of Texas, Austin Marekani.
Hesabu yake ilikuwa hivi; aliona kukaa kwenye Campus za Chuo itafanya awe na deni kubwa sana la kulipa baada ya kumaliza Chuo, kaingia zake mtaani kajiongeza na huu ndio mjengo wake alioamua kuishi ili kukwepa hayo madeni mengine yasiyo ya lazima.
Hiyo ni nyumba ndogondogo mtu wangu, lakini ndio hivyo jamaa kaona panamtosha hapohapo !!
0 comments:
Post a Comment